dc.contributor.author | Khan, Z.R. | |
dc.contributor.author | Amudavi, D. M. | |
dc.contributor.author | Midega, C. | |
dc.contributor.author | Pittchar, J. | |
dc.contributor.author | Nyagol, D. | |
dc.contributor.author | Genga, G. | |
dc.contributor.author | Ndiege, A. | |
dc.contributor.author | Akelo, P. | |
dc.contributor.author | Pickett, J. A. | |
dc.contributor.author | Wadhams, L. J. | |
dc.contributor.author | Muyekho, F. | |
dc.contributor.author | Nyateng, B. | |
dc.date.accessioned | 2017-12-18T07:36:07Z | |
dc.date.available | 2017-12-18T07:36:07Z | |
dc.date.issued | 2011 | |
dc.identifier.isbn | 92 9064 229 7 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/123456789/653 | |
dc.description | Manual | en_US |
dc.description.abstract | Wakulima wenye mashamba madogo barani Afrika hukumbana na shida nyingi. Mashamba yao ni madogo sana kiasi cha kutokuwa na uzalishaji wa maana kiuchumi; wana kiasi kidogo au hawana kamwe pesa za kuwekeza katika vifaa vya kutumiwa shambani; na wadudu waharibifu na magonjwa huharibu sehemu kubwa ya mimea yao. Orodha hii haina mwisho. Matokeo yake ni mzunguko unaowakwamisha katika umaskini na utapiamlo. Juhudi nyingi zinafanywa katika kukabiliana na shida zinazowakabili wakulima wa mashamba madogo. Mtalaa huu unaangazia changamoto kuu zinazoathiri uzalishaji wa nafaka Afrika- stemborer na kwekwe za striga na viwango vya chini vya rotuba mchangani. Pale ambapo shida hizi hazijakabiliwa, uzalishaji katika kilimo umeathirika pakubwa. Katika baadhi ya maeneo, hasara ya kuharibika kwa mimea asilimia 100 imeripotiwa. Kwa kukabiliana na tatizo pacha la stemborer na kwekwe za striga, kwa matumizi ya teknolojia ya Sukuma-Vuta, mkulima wa shamba ndogo anaweza kuongeza uzalishaji wake na kuimarisha afya na mapato ya familia. | en_US |
dc.description.sponsorship | International Centre of Insect Physiology and Ecology (ICIPE) | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Icipe Science Press | en_US |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-ShareAlike 3.0 United States | * |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/3.0/us/ | * |
dc.subject | Push-Pull | en_US |
dc.title | Push-pull curriculum for farmers field schools (in swahili)mtalaa wa sukuma-vuta kwa mafunzo ya wakulima shambani | en_US |
dc.type | Other | en_US |
The following license files are associated with this item: